Nairobi News

LifeWhat's Hot

City mums tell harrowing experiences with house helps


City mums have narrated the horrors that house helps have taken them through while in their line of duty.

The women narrated their ordeals on Chit Chat Facebook group detailing blunders by house helps.

The stories ranged from clueless househelps who could not identify the baby’s medication, to evil ones who killed babies in the name of revenge.

“Wangu nilimsho anipatie paracetamol syrup nipe mtoi akaniletea peroxide.”

“Kuna dm aliletwa na mum juu katoi kalikuwa kadogo na I was still in school, alikaanga weetabix na akaweka mpaka nyanya.”

“Wangu nilimpata akioshea mtoi wangu less than one year kwa shower karibu roho itokee kwa mdomo khai.”

“Kueka mtoto wa one month kwa fridge na kutoroka, the innocent child died ati juu ya kugombezwa juu ya chakula.”

“She sliced a ? threw the red part in the dustbin and served my kids with the white part na ngozi ta green. ?”

“Kuweka paka kwa microwave…akiulizwa iko wapi anasema ameika kwa box ya white iko huko jikoni coz inamsumbua. Na kufua na starsoft akidhani ni sabuni ya liquid wah!”

“Wangu alinishock after kutupa mtungi ya gas after kuisha!!!wah…”

“Nishawaipata mmoja alkuwa na charm, the same day alipofika kwangu akasema nitoe pics za Jesus zote nkamshow asiogope ni pic tu. Akaniambia hawezi hold mtoto atamchoma haya nkamwambia awarm food ya mtoto kuenda kitchen nlimpata ako kwa floor na anaongea tu zake akisema anataka damu sema kushtuka wololo i called a neiba friend akaniitia passy wao sema exorcism sasa woi skuwa najua ati spirits huongea hadi nlipojionea na kujibizana na wao eti toka in Jesus name, UI naambiwa hatutoki, toka, twende wapi?uweh nkaziambia kuzimu is where u belong woii mtoto wa wenyewe kunyongwa na kuitisha damu nkamwambia huku hakuna damu unapata.”