Nairobi News

ChillaxWhat's Hot

Nyota Ndogo makes shocking revelation about family feud

By NAIRA HABIB October 27th, 2017 7 min read

Mombasa based singer Nyota Ndogo has shocked her fans after revealing some of the evils her family has been up to drive a wedge between her Danish husband and her.

In a series of heart wrenching posts on Instagram, the singer opened up on how her brother Juma Tutu colluded with their mother and sister to extort money from her white husband.

She begins by detailing the hardship she had to go through before launching her career as a singer. She also speaks about how his brother Juma Tutu who declined to assist her get her songs to be played on the radios.

In addition, she laments on how he one day hit her in public, telling her that her that she did not have any talent and should give up singing.

PART 1… Kitambo nikianza mziki nilikua muoga sana.nilikua naogopa sana magazeti.nilikua nikiskia nipo kwenye gazeti naanza kulia maana najua nimetukanwa sana umo ndani.hamuezi kuamini familia yangu ilitake advertage of that.walijua huyu anaogopa sana media kwaivyo tukimwambia chochote atafanya.mimi nimekua nikimuangalia mama toka nafanya kazi ya nyumbani na senti zangu kidogo but zote nitampelekea mamaangu kwakua sikua na maitaji .nilikua najinunulia always mafuta yakujipaka tu kila mwezi hela zengine kwa mamaangu.couse nilikua najua kuna wadogo zangu kule nyumbani ambao pia wanaitaji msaada.ok mimi sio wa kwanza kwa familia kuna mkubwa wangu ambae uwa sijawai kumuongea hata siku moja but aliwai kuji introduce mwenyewe siku ya harusi yangu kwa MATUSI nafkiri munamkumbuka kwakua mimi nikiwa mfanyikazi wa nyumba yeye alikua tayari ni mwanamziki na nilipomfata na nyimbo zangu anisaidie aliniambia siwezi kuimba na sikuwai kumfata tena.kwakua nilikua nakaa kazini miezi minne kabla kwenda nyumbani nilitafuta njia za studio na nyote munajua nilifika vipi studio.nilirekodi ulbum bure kwakusaidiwa.nyimbo zinapigwa kwenye radio mimi bado nafanya kazi ya nyumba.siku naenda kumuona mama namwambia mama mimi naimba kuna nyimbo zangu zachezwa kwa radio mama akafurai.kaka hakujua ni mimi.aliponiona akaniambia kuna mschana anaimba kweli umesikia? Anaitwa nyota ndogo?.nikamwambia huyo nyota ni mimi.so hakunisaidia na chochote kimziki wakati alikua uwezo anao.na kuona kua nyota kaenuliwa na watu wa nje na sio yeye na nyota anavuma kumliko yeye hapo ndip chuki alipoanzia.ananichukia miaka yote amekua akiniambia mziki wangu hauendi popote toka naanza.chuki ya kwamba aliwai kunipiga mimi na unyota wangu hadharani mbele ya watu mtaani kuniaibisha tu kisa kumtuma dadangu dukani kuleta chumvi kaleta tomato nikamwambia rudisha sujakutuma hicho yeye akaanza kuniambia unaringa kwakua unapesa.nikamuuliza pesa gani nilizonazo akaanza kunipiga………

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

Nyota explains that although she did not get much support from the family she still took care of them with the little money she would make from her music.

PART 2… Sasa kama kuna kitu uniumiza zaudi yani hamuezi kuamini ni mamaangu.tupo madada wa nne wavulana wawili.nimefanya mengi mpaka kujisahau mimi mwenyewe kujiangalia.nipo na dada anaenifata nafkiri mulimuona anaitwa leila.mimi nalela tupo na tabia tafauti sana.mimi nimemchukua mtoto wa leila wa kwanza yupo mikononi mwangu.tukirudi nyumba wakati naishi mtopanga.kuna wakati mamaangu alikua anaishi sehemu inaitwa jua kali kuna nyumba za udongo kule hazina stima wa maji.nyumba ile nilikua nailipa elfu tatu but nikawa na mwambia mama tafuta nyumba nzuri sisi tushirikiane tuchange tulipe rent yako.juma akasema muache aishi anavyotaka uwezi kumcontrol mama aliekuzaa but kiukweli alikua anahepa ule mchango kwaivyo kwake yeye ni sawa mama akiishi kwa nyumba ya aina ile wakati tunajua tukishirikiana tutalipia nyumba.pia watu walikua wakinisema vibaya eti mamake nyota anaishi kwenye mazingira ya ajabu wakati amevuma.ukimuona mama kachoka nguo anazo vaa yani uwezi kuamini ni mamake nyota but hata nimnunulue nguo mama anauza yani mamangu uniliza mimi.ujitembeza kama mwenda wazimu watu wananisema mimi na sio kwamba hana but ni yeye mwenyewe ila mie yaniumiza kwakua watu hawaelewi na kutembea ni hadharani so kila mtu anamjua.so juma hajali mama anavyoishi couse hakuna siku watu umuita mamake jumaa.watu umuita mamake nyota.na juma hajali jina langu likiaribika yeye anafurai.kwaivyo niligoma kuilipa ile nyumba nikasema silipi hii nyumba labda ahame aende atafute nyumba nzuru juma akasema mimi nitalipa.so akawa anailipa yeye ile nyumba ya mama yani yeye hana neno mama akiishi kwenye mazingira yale.sasa siku moja nikamuamisha mama aje akae jaribu na mimi mtopanga.nikamkodishia room nzuri kama kawaida ataishi na leila na pili na watoto wao.nikifanya shooping kwangu nyumbani nitafanya na kwa mama vile vile masister wamekaa tu hawafanyi chochote mimi ndio niwaangalie nyumba stima maji na chakula.na hamuezi kuamini nilikua nikifanya hivyo.nakumbuka kuna wakati nilitoka show.nikaenda dukani nikanunua gunia la mchele sukari kilo kumi maharage kilo ishirini gunia la makaa.nikapeleka kwa mama but sikumkuta nikampata leila na pili.nikawaambia basi jamani tafteni hata kabiashara kadogo

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

After getting married, her Danish husband wanted to come and see her family in Kenya. Nyota says that she informed her family of the matter and they agreed on a date to welcome him in Kenya.

But Nyota Ndogo later learned that her elder brother had planned to extort her husband Sh200,000 as dowry.

So familia ilijua nakuja na mume na walijua ni mzungu.tulikua tuende kwenye saa tano hasubui ndio tukae mpaka jioni tukitia story.kwaivyo nilijua wanajua tunaenda na tutapikiwa lunch but kitu kikaniambia hebu mpigie tatu simu ujue kukoje uko kwa juma maana ndio tuendako.nikamoigia simu nikamwambia twaja sisi couse tatu ndio dada pekeake anaenielewa na anaejua kurudisha shukrani.tatu akaniambia mwanaisha sitakudanganya juma amesema tuapikie chapati na maharage.nikasema what? Akasema hata vyaelekea kuiva hivi njooni tu.nikasema mimi sina shida na maharage but mgeni jamani.nikamtumia tatu pesa nikamwambia nunua nyama kilo nne kaanga kando imagine na akaniambia jumaa hayuko ametoka.so tulienda tulipofika jumaa nae akawa ndio anaingia mama akatukaribisha vizuri famili inafurai mume alifurai kuona familia inafuraha.nilipokua nimeketi mume wangu akawa ana ni kumbatia ya kawaida tu kunishika mabega kama kwenye hii picha.tulimaliza kula jumaa akaondoka kama 1hour hivi hatukujua ameenda wapi.akaja na rafiki yetu mwengine but aliporudi alikua ananuka bagi sana.yule rafiki akamwambia mume wangu naomba kumuiba nyota dakika kumi hivi mume wangu akasema sawa.but juma nae akamvuta mama bedroom mimi nikaitwa nje.kufika nje yule mdada akawa ananiambia huyu mzungu amekupenda sana mpaka amekuja kenya hapa mahari paka itoke nikaona kama mchezo.kurudi ndani nikamkuta mume wangu amekasirika amenipiga jicho baya ame turn red nikamuuliza unanini mbona gafla umegeuka? Akaniambia you know.nikamuuliza i know what? Akasema call a taxi we go to the hotel i want to book the next flight to home tmr yani anataka kurudi nyumbani kwao. nikamuuliza what is the problem yeye akashikilia you know.nikamuita juma na mama nikamuuliza kuna nini mbona huyu kageuka? Akanijibu hivi.NIMEMWAMBIA UKIJA KUONA FAMILI LAZIMA UTOE 200K NIMEMWAMBIA ATOE TENA MWAMBIE ATOE AMA NITAMPOKONYA SIMU WALLET YAKE SAA NA KILA KITU ALICHO NACHO.nikamwambia haya yameanzia wapi.nikamwambia mama mama haya mambo gani? Ama akasema mwambie atoe pesa mimi nasimama na jumaa.taxi ilikuja tulipanda tukaondoka.mume wangu alikua ananiambia kumbe hunipendi kumbe ni pesa munataka mumepanga na familia yako muchukue pesa zangu.imagine

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

Leo hii mimi nikaachwa watakao sherekea wa kwanza watakua familia yangu…………..mume wangu alivyokuja vile uwa anakuja for 2weeks akaniambia tumekaa miaka miwili mbona tusioane? Nikamwambia sawa.akasema mwenyewe kesho twende kama mamako nataka kumwambia rasmi kua namtaka mtoto wake.mimi nakamwambia i have to call my brother couse sina baba baba alikufa yeye atachukua nafasi ya baba.nikampigia simu nikamueleza.hata kama tulikua hatuongei but nilimpa heshima yake kama mkubwa wangu couse mimi sinaga madharau…BUT alinijibu hivi.sina mda wakuja kwenye harusi unajua kazi zimepotea na hii tumepata ni kinahati so siwezi kukosesha band kazi kwaajili ya harusi.then nikamwambia but band wanaweza kucheza bila wewe akasema nimeshakwambia siwezi good luck.then after 5min akaandika ujumbe hivi.wewe si ulininunia kwaajili ya kumwambia huyo kibabu wako atoe 200k sina pesa saizi nitumieni 200k nitakuja.sikumjibu.akaona kimya dakika tano zengine akaandika tena ujumbe wangu umeuona ama bado? Siku mjibu.yaliofatia nivitisho.nikakuja kuwavamia kwenye harusi nawaambie vijana wanye kwenye chakula wakojoe tuaribu aribu kila kitu kisha huyu babu nimtie tie makofi

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

Tukaenda mpaka kwa mamangu nyumba anaishi mamaangu nailipa mimi kila kitu kilichoko ndani ya nyumba ya mamangu nimekinunua mimi.from vitanda evrything.tulipofika kwa mama mama alifurai kuskia mume anataka kunioa.tukaongea tukayamazima.sote tunajua wazungu hawaonagi kwa mahari.sasa vile anaoa mwafrica lazima tumfunze bila zetu mahari lazima itolewe kuna kilemba waslamu mko wapi.kuma kitu baba upewa na mama pia maiwa but its not maziwa inaweza kua pesa pia but mahari inakuaga ya mschana ndao anapewa ni yake.so mimi nilipoulizwa unataka nini sina makubwa nilisema nataka mamaangu umjengee nyumba simple ya room mbili awe na kwakwe itanipunguzia kulipa hii rent.watu wanasema sijalipiwa mahari? Nikifika home nitawapigia picha ya marriage certificate hapa sifichi kitu.ile nyumba nilianza msingi napesa zangu kwengine kote kajenga mume wangu.kama kuna pesa yangu nimetumia ni 100k pekeake zengine ni mume.so alikamilisha nyumba mamaangu aishi.but kwakua mamangu hakupenda voi hakutaka kuja voi.na mimi sina pesa zakununua land mombasa ni ghali sana.so nikamwambia wacha tuone.mwaka huu mwanzoni tulienda kumtembelea mombasa couse kila akija atasema let’s go to your mum.tulipofika mama akasema mwanaisha nimechoka na mombasa nijengee voi nitaguria huko..tuliangaliana na tatu tukashtuka ni yeye anaongea ama vipi.akasema bora unifungulie biashara nitakaa vou.sindio ikanipa nguvu ya kuongea na mume wangu? Nyumba mliiona toka mwanzo nachimba msingi muliiona.ile nyumba ni mahari yangu kwa mamaangu.

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

“Nimechoka. Kila wakati najaribu kusaidia watu wanaona ni haki yao wewe kuwafanyia. Sometimes nakosa hata shilingi moja but watoto wengine akiwaomba pesa wao kila mtu sina ama wanamwambia mwambie mwanaisha.”

HII NIA MWISHO.KWANINI NIMEAMUA KUJITOKEZA?……nimechoka.kila wakati najaribu kusaidia watu wanaona ni haki yao wewe kuwafanyia.sometimes nakosa hata shilingi moja but watoto wengine akiwaomba pesa wao kila mtu sina ama wanamwambia mwambie mwanaisha.ukimuongalia mamangu vizuri hata watoto kama wajukuu hana mapenzi nao vile sana mpaka mbarak anajua.nimekua na watu wamekua karibu na mimi miaka nyingi sana na ukituangalia rangi zetu hatufanani niwaarabu mimi mweusi but they take good care of me na watoto wangu but my family dont like this family but kitu nitawaambia mtu wa nje anaweza kufa na wewe kuliko familia yangu.mume wangu alikua kenya last month for 2weeks akapeleka hio nyumba mbio sana mpaka ilipofikia.mama akasema hawa samaki nachukua kidogo kidogo ningepata friza ingesaidia ningechukua wengi.mume wangu siku yapili bila kuniambia chochote akaniambia twende town nikamuuliza kufanya nini? Akaniambia twende tu nipo nakitu nataka kukuonyesha.mume akaniambia umchagulie mamako friza atakayo.nikachukua nzuri tu garama yake sio nyingi 50k tukampelekea nyumbani yani alifurai sana.siku yapili nikatumana samaki wengi sana.wakajaa kwa friza.kwakweli watu wanapenda samaki wake.nimeona nyumbani nimemfanyia atakavyo nyumba japo haijaisha but yupo ndani.huko nyumbani nasikia amemaliza samaki wamekula pesa zote hawapesa ya kuoda samaki mama anasema anataka kurudi mombasa voi hakuezi.mimi nasjiaje baada yakumfanyia hayo yote.ile nyumba ya mama nilijipatia time imesimama na maji ninayoteka mimi.nilipeleka maji na gari langu mpaka nyumba ikasimama mwenyewe nikilala nalala kama punda.watoto wao wanasomesha mimi kila kitu hata shule kukiwa na shida naitwa mimi.watu walijaribu sana kumpiga mamaangu picha kwa anavyojiweka kishida but sijui why hawakuzitoa.leila mwenyewe kuna time alitaka kupeleka watu wampige mamaake mzazi picha inichomee mimi picha bila kusahau ni mamake.so juma yupo na leila ki team hawa wawili uofia maisha yangu kwakweli.

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on